habari Mpya


Hapa kazi tu Sielewi kama ndo Hivyo-Ngara,Kunani?

1
Utekelezaji wa Sera ya Elimu ya 2014 na Sera ya Elimu Bila Malipo kwa Tanzania,Hii Miundombinu ya mazingira ya kufundishia na kujifunzia Shule ya Msingi Muyenzi na Rwinyana katika wilaya ya Ngara mkoani Kagera.
2
 Je shule hizi zinapokea fedha za ruzuku za ukarabati kila mwaka? Je Afisa elimu Msingi,Mkurugenzi Mtendaji na Mkuu wa Wilaya Ngara wanazifahamu shule hizi na hatua gani imechukuliwa kwa kushirikisha viongozi na wananchi wanaopeleka wanafunzi kupata elimu hapo? 
 
Hapa kazi tu sielewi kama ndo hivyo.

3

4

5

Post a Comment

0 Comments