habari Mpya


Taswira Picha ya Umuhimu wa Mahudhurio ya Kliniki kwa Mama na Mtoto.

Taswira picha ya Moja ya Kliniki hapa wilayani ngara mkoani Kagera.Picha na maktaba yetu.

Pichani Baba akiwa kahudhuria Kliniki na hii ni Matunda ya jitihada nyingi za kumshirikisha mwanaume katika masuala ya afya ya uzazi  zinayofanywa na serikali na mashirika binafsi ya kitaifa na kimataifa ikiwemo  upanga  mikakati na sera zitakazoshawishi na kuvutia wanaume kufika katika hospitali na vituo vya  afya ili kupata huduma za afya ya uzazi au kusindikiza wenza wao katika kliniki za awali na  baada ya ujauzito.

Ni muhimu kwa Wajawazito,Mama aliyejifungua ,Baba   kujua mpanglio mzima wa mahudhurio ya Kliniki ili kuimarisha afya ya familia nzima kuwa bora kama vile utayari wa kupata huduma za afya, uhiari wa kupima afya, kupata matibabu na gharama zake.


Post a Comment

0 Comments