
![]() |
Askofu Darlington Bendankeha akiungama wakati wa ibada ya Kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Kanisa la Anglican Dayosisi ya Kagera,mkoani Kagera. |

![]() |
Askofu Darlington Bendankeha akiombewa kwa kuwekewa Mikono na Maaskofu wengine wakati wa ibada ya Kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Kanisa la Anglican Dayosisi ya Kagera,mkoani Kagera leo October 29,2017. |
![]() |
Pichani Juu na Chini Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglican Tanzania, Jacob Chimeledya akimvika Msalaba wa Kiaskofu , Askofu Darlington Bendankeha wakati wa ibada ya Kusimikwa kwake kuwa Askofu Mkuu Kanisa la
Anglican Dayosisi
ya Kagera,mkoani Kagera leo October 29,2017.
|




![]() |
Askofu Darlington Bendankeha kushoto Pichani, akiwa na Fimbo ya Kichungaji baada ya Kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Kanisa la Anglican Dayosisi ya Kagera,mkoani Kagera leo October 29,2017. |
![]() |
Askofu Darlington Bendankeha wa pili kutoka kushoto akiwa na Mkewe katika picha ya pamoja baada ya Kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Kanisa la Anglican Dayosisi ya Kagera,mkoani Kagera leo October 29,2017. |


![]() |
Askofu Darlington Bendankeha akipongezwa na Mke wake wakati wa ibada ya Kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Kanisa la Anglican Dayosisi ya Kagera,mkoani Kagera leo October 29,2017. |
![]() |
Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi akisaini Kitabu cha Wageni wakati wa Hafla hiyo . |

![]() |
Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi akitoa neno wakati wa Hafla hiyo . |


![]() |
Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglican Tanzania, Jacob Chimeledya pichani kulia akiwa na Askofu aliyestaafu ,Askofu Aaron Kijanjali kushoto kwake wakati wa ibada ya Kumsimika Askofu Mkuu mpya wa Kanisa la Anglican Dayosisi ya Kagera,mkoani Kagera leo October 29,2017 kwenye Kanisa Kuu la Murgwanza,wilayani Ngara mkoani Kagera. |


![]() |
Picha juu na chini, ni Maandamano ya Wachungaji,Waumini na Viongozi mbalimbali wakitoka Kanisani kuelekea viwanja vya kanisa kuu la Murgwanza kwa ajili ya Ibada ya Kumsimika Askofu Darlington Bendankeha kuwa Askofu Mkuu Kanisa la Anglican Dayosisi ya Kagera,mkoani Kagera leo October 29,2017. |










![]() |
Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi akisalimia na Askofu aliyestaafu ,Askofu Aaron Kijanjali kushoto kwake. |

0 Comments