habari Mpya


Wakazi wa Muganza - Chato na Kero ya Huduma ya Maji.

Baadhi ya wakazi wa kijiji na kata ya Muganza wilaya ya Chato mkoa wa Geita walikutwa na Camera yetu siku ya Jumapili ya September 24, 2017,wakiwa kwenye foleni ya kuchota maji katika kisima kilichojengwa na kanisa la ELCT katani humo kupunguza changamoto ya maji kijijini humo.

Inaelezwa kuwa  mahitaji ni makubwa kwani kijiji hicho kinakadiriwa kuwa na wakazi 3,700 ambapo kata nzima yenye vijiji tisa vilivyo na wakazi 30,000 hakuna mradi wa maji wa kuhudumia wananchi.


Picha na Shaaban Ndyamukama

Post a Comment

0 Comments