habari Mpya


VPL 2017/2018 - Goli za Okwi na Bocco zitafuna Mwadui FC.

Mabao yote ya Simba SC leo September 17,2017  yalikuwa mazuri na yenye kudhihirisha uwezo binafsi wa wachezaji kufunga na kwa ujumla, Wekundu wa Msimbazi walikuwa katika mechi nyepesi mno jioni hii.

 Ni Emmanuel Okwi pichani Juu na Mshambuliaji, John Bocco pichani Chini, wamewapa burudani ya nafsi mashabiki wake leo September 17,2017 baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mwadui FC ya Shinyanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.Hapa chini Matokeo ya Mechi za Jana September 16,2017.

Msimamo wa VPL 2017/2018 Ulivyo sasa.


Post a Comment

0 Comments