habari Mpya


Matukio Picha Ngara wakati wa Haba na Haba -Sikiliza kila Jumatatu saa Moja na Nusu Usiku.

Katika Haba na Haba leo, wadau hawa walijadiliana,kubishana kuhusu Je,katika harakati za uchumi,adui wa mwanamke ni mwanaume.?

Utasikiliza mjadala huu kupitia BBC,radio kwizera fm kila jumatatu saa moja na nusu usiku na radio washirika


Post a Comment

0 Comments