habari Mpya


Chato: Mahakama yawaachilia kwa dhamana wana CHADEMA

Juventus Juvenally

Mahakama ya wilaya ya Chato imewaachilia kwa dhamana wanachama 15  kati ya 51, wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA waliokamatwa na kushitakiwa kwa kosa la kufanya mikusanyiko isiyo halali. 

Post a Comment

0 Comments