habari Mpya


Rais Magufuli kufungua na kuzindua Miradi 9 ya Barabara na Uwanja wa Ndege Mkoani Kagera,Kigoma,Tabora na Singida.

Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa nje ya kanisa  Katoliki la  Bikira Maria Parokia ya  Chato Mkoani Geita,ambalo linaendelea kupanuliwa na kujengwa hapo akielekea kuwasalimia waumini walio kuwa nje ya kanisa na kuwaaga mara baada ya ibada. (PICHA NA IKULU)

Post a Comment

0 Comments