habari Mpya


Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera na Sakata la Vyeti vya Kughushi.

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Biharamulo mkoani Kagera, Bi Wende Ng'ahala akipitia nyaraka mbalimbali kujiridhisha na majina ya Watumishi waliotajwa kuwa na Vyeti vya kughushi  ambapo wilaya ya Biharamulo inakisiwa kuwa na Watumishi 54 waliokutwa na Changamoto katika vyeti vyao.


Picha Na -Shaban Ndyamukama.


Post a Comment

0 Comments