habari Mpya


Video-Monaco yapihwa na Juventus 0-2 - Klabu Bingwa Ulaya 2016/2017.

Mchezaji wa Monaco ya Ufaransa, Mbappé akiwa amekabwa na Beki wa Juventus.

Klabu ya Juventus ya Italia imecheza ugenini usiku wa Jumatano hii dhidi ya FC Monaco katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali michuano ya Klabu bingwa ulaya na kuchomoza na ushindi wa mabao 2-0.

Mabao ya ushindi ya Juventus yalifungwa na Mchezaji Gonzalo Higuain katika dakika ya 29 kipindi cha kwanza na bao la pili Dakika ya 59 kipindi cha pili, na timu hizo zitarejeana tena mnamo mei 9 mwaka huu.

Baada ya michezo miwili ya nusu fainali ya kuchezwa utafuta mchezo wa fainali utakaopigwa June 03,2017 mjini Cardiff ukizikutanisha timu zilizofuzu hatua ya nusu fainali.

HAPA CHINI TAZAMA VIDEO YA MATUKIO YA MCHEZO KWA KU BOFYA PLAY.

Post a Comment

0 Comments