habari Mpya


Rais Magufuli amteua Simon Sirro Kuwa Mkuu wa Polisi Nchini.

Aliyekuwa Kamishna wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Simon Sirro.

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli Jana tarehe 28 Mei, 2017 amemteua Kamishna wa Polisi Simon Sirro kuwa Mkuu wa Polisi (IGP).
Aliyekuwa Mkuu wa Polisi (IGP), Ernest Mangu.

Kabla ya Uteuzi huo IGP Simon Sirro alikuwa Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam.

IGP Simon Sirro amechukua nafasi ya Ernest Mangu ambaye atapangiwa kazi nyingine.


Post a Comment

0 Comments