habari Mpya


Mvua inapoleta Tope linalokwamisha Magari Muleba,Kagera.

Wananchi wakiondoa tope kwenye barabara itokayo Kamachumu kuelekea Bukoba mjini eneo la Lukono Kata ya Muhutwe wilaya ya Muleba Mkoani Kagera baada ya Magari 30 ya abiria pamoja na mizigo kukwama katika tukio lililotokea asubuhi ya May 14,2017 kutokana na ubovu wa Barabara na mvua zinazoendelea kunyesha mbele ya daraja la Kyabakoba...Picha na Shaban Ndyamukama.Post a Comment

0 Comments