habari Mpya


VIDEO-TFF Yarudisha Point 3 za Simba kwa Kagera Sugar na hakuna kukata Rufaa.

Katibu mkuu wa shirikisho la soka Tanzania TFF Selestine Mwesigwa ametangaza maamuiz yaliyofikia na kamati ya sheria na hadi za wachezaji kuhusu Simba kupewa point 3 dhidi ya Kagera Sugar kwa madai ya kuchezeshwa mchezaji Mohamed Fakhi aliyedaiwa kuwa kadi 3 za njano.

Selestine Mwesigwa ametangaza maamuzi hayo katika makao makuu ya TFF na kusema Simba imepokonywa point tatu na hakuna nafasi ya kukata rufaa kutokana na kikao cha bodi ya Ligi kilichotoa maamuzi ya awali kilikuwa kinyume kisheria.

Post a Comment

0 Comments