habari Mpya


Taswira Picha ya Siku-Rusumo -Ngara Kagera.

Daraja la zamani la Rusumo lililopo wilayani Ngara mkoani Kagera likiunganisha Nchi ya Tanzania na Rwanda.
Kituo cha pamoja cha ushuru wa forodha kati ya Tanzania na Rwanda
Muonekano wa Daraja Jipya la Kimataifa la Rusumo lililopo wilayani Ngara mkoani Kagera linalounganisha Tanzania na Rwanda.

Post a Comment

0 Comments